x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jinsi mji uliovuma wa Mtito Andei unavyofifia kutokana na reli ya kisasa SGR

31, Dec 2019

Mji wa Mtito Andei unaendelea kufa kifo cha polepole. Mji huo ambao uko katika  barabara kuu ya Nairobi?Mombasa, unaedelea kudidimia baada ya ujenzi wa reli ya SGR na shirika la huduma kwa wanyamapori, KWS, kufunga barabara inayoingia mjini humo.

RELATED VIDEOS


Feedback