.
25th March, 2019
Mameneja wa vyama vya akiba na mikopo wameonywa kwamba uadilifu wao upo kwenye mizani ya tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC. Sasa watalazimika kuwasilisha stakabadhi za kuonyoseha kuaminiwa kwao kusimamia fedha za wanachama, hii ikiwa ni hatua mahsusi ya kukomesha ubadhirifu uliokithiri kwenye vyama hivyo. Haya yametangazwa wakati huu ambapo vyama hivyo maarufu sacco vinapowasilisha mahesabu ya fedha zao.