×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wamshtumu Henry Rotich | KTN Leo [Sehemu ya Kwanza]

3rd September, 2018

Waendeshaji magari pamoja na wasafiri wa magari ya umma kote nchini wanaendelea kulalamikia nyongeza ya bei ya mafuta iliyosababishwa na ongezeko la ushuru wa asilimia kumi na sita wa bidhaa za mafuta. Hii leo baadhi ya waendeshaji magari walifanya maandamano mjini nakuru wakishinikiza serikali kubatilisha uamuzi huo wakisema nyongeza ya bidhaa za mafuta itafanya gharama ya maisha kupanda zaidi. Mwanahabari wetu elphas lagat kutoka nakuru alifuatilia maandamano hayo.

.
RELATED VIDEOS