×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vikosi vitakavyoshiriki mashindano ya Madola mwezi ujao

28th March, 2018

Mkufunzi wa timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba Innocent Simiyu pomoja na mkufunzi wa kina dada Kevin Wambua wametaja vikosi vitakavyoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola mwezi ujao pamoja na mikondo ya  Msururu wa raga ya dunia Hong Kong na Singapore kwa wanaume. Wengi watasubiri kuona endapo kina dada wa kenya watafuzu miongoni mwa timu kuu kwenye msururu wa mwaka 2018 huku shujaa ikiwa na ari ya kutwaa medali.

.
RELATED VIDEOS