Watoto watatu wa familia moja wafukiwa na ardhi kwenye kisima Bomet
03, May 2016
Huku mvua kubwa ikiendelea kushuhudiwa sehemu mbalimbali humu nchini, familia moja katika kaunti ya Bomet imepata msiba baada ya watoto watatu wa familia hiyo kufukiwa na ardhi kwenye kisima.