x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanariadha Wang'aa jijini London

24, Apr 2016

Wanariadha kutoka Kaunti za Elgeiyo Marakwet, Nandi na Uasin Gishu walikusanyika mjini Eldoret ili kufuatilia mbio za London ambapo Wakenya walikuwa wamepigiwa upatu kung’aa, ummati huo ulijumuisha wanariadha waliostaafu na pia wale ambao bado wanajihusisha katika mashindano tofauti huku wasiwasi ukidhihirika wazi haswa pale wanariadha wa uhabeshi walipoonekana kuleta upinzani. Lakini baada ya muda wa saa mbili, wasiwasi uligeuka na kuwa vifijo, shangwe na nderemo pale Eliud Kipchoge na Jemima Sumgong walipofika kwenye utepe wa kwanza na kunyakua ushindi upande wa wanaume na wanawake mtawalia.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback