x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi kutoka Bonde la Ufa hawataki Kenya kujiusisha na mahakama ya ICC

17, Apr 2016

Viongozi kutoka Bonde la Ufa wameunga mkono kauli ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba hakuna mkenya yeyote ambaye atawahi kwenda katika mahakama ya ICC katika siku za usoni. Vile vile viongozi hao wamewasuta viongozi wa cord kwa kutumia mkutano wao kuwachochea wakenya ilhali wao kama jamii tayari wamesameheana na kuridhiana.

RELATED VIDEOS


Feedback