x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakristo waadhimisha mwanzo wa wiki takatifu ya Pasaka kwa Jumapili ya Matawi

20, Mar 2016

Wakristo kote ulimwenguni wameanza kusherehekea wiki takatifu leo kwa Jumapili ya Matawi. Ni wakati ambao wakristo husherehekea siku za mwisho za yesu kristo kabla ya kifo chake. Hapa jijini Nairobi wakristo walikusanyika makanisani wakiwa na matawi kufungua wiki hii takatifu na kisha kushiriki katika ibada. Jumapili ya matawi huwa ni wakati Yesu alipoingia jurusalemu. Ijumaa njema ikisherehekewa siku aliposulubiwa yesu na kuteseka kwake, kisha kusherehekea jumatatu ya Pasaka.

RELATED VIDEOS


Feedback