x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shule moja imekua ikivuta mkia kwa miaka mingi inaomba wahisani wainusuru

19, Mar 2016

Wanafunzi wa zamani na wa sasa kwenye shule inayovuta mkia kwenye mitihani ya darasa la nane Kaunti Ya Murang’a wametoa wito kwa wahisani kuinusuru. Mbali na kukosa uwanja, vyoo na madarasa yanayofaa, shule ya msingi ya kawanjeru ni vigumu kuifikia kwani hata daraja la kuwezesha wanafunzi kuvuka mto kwenda shuleni halipo. Alama yao ya juu zaidi ya jumla imekuwa 197 tu kwa 500 kwa miaka mitatu iliyopita.

RELATED VIDEOS


Feedback