×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Olimpiki maalum kuandaliwa siku ya jumapili

4th March, 2016

Bingwa wa dunia wa mbio za mita 3000 Ezekiel Kemboi ni mojawapo ya wanaraidha wa hadhi ya juu ambao wanatarajiwa kushiriki mbio za mwaka huu za mama wa taifa ambazo zitaandaliwa jijini Nairobi tarehe sita mwezi machi..Cynthia Jelagat aliyeshinda mashindano hayo mwaka wa 2010 katika upande wa kina dada pia anatarajiwa kushiriki. Wakati huo huo kampuni ya mawasliliano ya airtel imetoa ufhadhili kwa wanariadha wa olimpiki maalum kwa ajili ya kushiriki mbio hizo za mama wa taifa.
.
RELATED VIDEOS