x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mugabe ataka Afrika ishirikishwe kwa baraza la usalama

30, Jan 2016

Rais wa Zimbabwe ambaye pia ni mwenyekiti wa umoja wa Afrika ametoa wito kwa umoja wa mataifa kujumuisha mataifa ya afrika katika baraza la usalama la umoja wa mataifa. Mugabe amesema kuwa mataifa ya bara afrika yanafaa kujiondoa katika umoja wa mataifa iwapo yataendelea kutengwa na kukosa kuhusishwa katika maamuzi ya maana kwenye umoja huo. Mugabe amesema hayo akifungua kikao cha marais na viongozi wa mataifa wanachama wa umoja wa afrika mjini Addis Ababa Ethiopia.

RELATED VIDEOS


Feedback