Mto Tana unakumbwa na tishio la kupungua maji au hata kukauka iwapo hautatunzwa
24th August, 2015
Ni Delta ya pekee humu nchini na hivi majuzi imevikwa taji la mataifa kuwa mojawapo ya maeneo ya kijiografia yenye mvuto ulimwenguni. Ipo kwenye mto Tana wenye urefu wa kilomita elfu moja… Lakini sasa mto huo unakumbwa na tishio la kupungua maji au hata kukauka iwapo hautatunzwa... Mwanahabari wetu Saida Swaleh amerejea kutoka kaunti ya Tana River kupata changamoto za wakazi ambao wamekuwa wakitegemea mto huo …. Sasa anasimulia kwenye makala haya maalum Tone la mto tana.