Wapenzi wa muziki wa 'Bongo Flavour' watumbuizwa na wanamziki wa Yamoto Band
9th August, 2015
Mjini Mombasa wapenzi wa muziki wa Bongo Flavour wanaendelea kuburudishwa kwa nyimbo kutoka kwa vijana waimbaji ambao wamechipuka kwa vishindo sana kwa jina Yamoto Band kutoka Tanzania. Bendi hii pia ilizuru afisi yetu ya Mombasa kabla ya burudani ya usiku wa jana..