x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wawakilishi wa wadi Nakuru warushiana makonde kwenye kikao

10, Mar 2015

Wawakilishi wa wadi kwenye bunge la Nakuru alasiri ya leo wamerushiana makonde kwenye kikao kufuatia mzozo wa kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo. Shughuli zilisambaratishwa katika vikao vitatu mfululizo pale wawakilishi wanaompinga spika Susan Kihika walipoteta kuhusu mapendekezo ya kubadilisha baadhi ya kanuni za bunge, wakidai kuwa marekebisho hayo yanalenga kuwahujumu wale wanaomuunga alikuwa kiongozi wa wengi George Mwaura Njenga.

Feedback