Naibu wa Rais: Serikali haitafanya mazungumzo na wahalifu ambao wanatishia usalama wa taifa.
9th November, 2014
Naibu wa Rais William Ruto amesema serikali ya Jubilee haitafanya mazungumzo na wahalifu au wapiganani ambao wanatishia usalama wa taifa.
Akiongea baada ya kuhudhuria misa katika kanisa la PCEA Kikuyu Ruto alisisitiza kuwa serikali itawachukulia hatua viongozi wote ambao wanasemekana kuendeleza mapigano katika maeneo ya kapedo,