.
21st March, 2022
Waziri wa elimu Prof. George Magoha anatarajiwa kutangaza matokeo ya mtihani wa KCPE siku ya jumatano wiki hii. hayo yamejiri huku waziri huyo akitoa onyo kali, kwamba ni simu mbili pekee zitakazoruhusiwa katika kituo cha mtihani wakati mtihani wa kcse unaendelea.