.
14th March, 2022
Huku muungano wa Kenya Kwanza ukikongamana katika uwanja wa michezo wa kimataifa wa Kasarani kwa kikao cha wajumbe wa kitaifa wa UDA kumuidhinisha rasmi Naibu Rais William Ruto kuwa mwaniaji wa kiti cha Urais, kinara wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga atakuwa anaanza misururu ya mikutano yake nchini uingereza.