.
14th March, 2022
Viongozi wa muungano wa One Kenya Alliance wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha KANU na Seneta wa Baringo Gideon Moi pamoja na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka walizuru kaunti ya Tharaka Nithi kuupigia debe muungano wao.
Viongozi hao walichukua fursa hiyo kutetea uamuzi wao wa kujiunga na vuguvugu la Azimio la Umoja.