×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hakuna mkataba kati ya UDA na ANC; Mwenyekiti, Muthama akana uwepo wa mkataba

31st January, 2022

Chama cha UDA kinasema kwamba hakijafanya makubaliano ya aina yoyote wala kuweka mkataba wa kuunda serikali na vyama vya anc pamoja na ford kenya na kwamba kilichoko kwa sasa ni urafiki tu ambao unalenga kuleta makubaliano ya kubuni muungano.

.
RELATED VIDEOS