.
10th January, 2022
Watu wawili zaidi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Lamu hata baada ya serikali kutangaza amri ya kutotoka nje nyakati za usiku kukabiliana na visa vya utovu wa usalama katika eneo hilo. Kwa mujibu wa mratibu wa maswala ya usalama katika eneo la pwani john elung'ata watu waliouwawa ??walikuwa wakitoroka baada ya vijiji vyao kuvamiwa