×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta wa Baringo Gideon Moi aapa kuwaonyesha cha mtema kuni viongozi wafisadi

29th November, 2021

Viongozi wa kidini na kisiasa kutoka jamii ya wafugaji wa Kaunti ya Tana River leo wamemwidhinisha mwenyekiti wa chama cha KANU na aliyepia Seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Wakati huo huo Moi aliapa kuwaonyesha cha mtema kuni viongozi wafisadi.

Chama cha KANU kimeanza kuimarishwa kwa kutumia mbinu ya kuwavutia wafuasi wa vyama vingine.

.
RELATED VIDEOS