Hisia za wakazi wa Nairobi kuhusu bajeti | #BudgetKE2018

KTN Leo | Thursday 14 Jun 2018 7:51 pm

Wakati waziri wa fedha Henry Rotich akiisoma bajeti ya mwaka huu. Wakenya wengi walielekeza kurunzi yao katika nguzo nne kuu za serikali ya Jubilee.  Baadhi ya wakenya wana maoni mseto kuhusiana na utekelezwaji wa nguzo hizo nne. Wengine wakibashiri siku ngumu za usoni.