Hatua ya Gavana wa Nairobi,Mike Sonko, kumpendekeza mwanasheria Miguna kuwa naibu wake,imepingwa

KTN Leo | Thursday 17 May 2018 7:46 pm
 Hatua ya gavana wa nairobi,Mike Sonko, kumpendekeza 
mwanasheria miguna miguna kuwa naibu wake, imepingwa 
vikali na uongozi wa bunge la kaunti ya nairobi. Spika 
beatrice elachi na kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo, 
abdi guyo, wameapa kutomwidhinisha miguna miguna kuwa 
naibu wa gavana, kutokana na kile wanachokitaja kuwa 
gavana sonko kukiuka utarataibu na kanuni za uteuzi.