Mkahawa wa kuvutia katika msitu wa mlima Kenya; Serena Mountain Lodge-Tembea Kenya: KTN Leo Wikendi

KTN Leo | Saturday 13 Jan 2018 7:54 pm

Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumamosi ya Tembea Kenya,

tunaangazia mkahawa mmoja ulioko kwenye msitu wa mlima Kenya.

Mkawaha wa Serena Mountain Lodge unazid

 kuwavutia wengi kutokana na mandhari yakuridhisha macho

 na kutuliza moyo. Raquel Muigai alizuru eneo hilo na

 kutupambia makala ya Tembea Kenya, wiki hii.