22nd February, 2021
Naibu Gavana wa kaunti ya Nakuru daktari Eric Korir Kipkoech amedokeza kwamba uga wa Afraha utakarabatiwa na kuwa na hadhi za kimataifa. Akizungumza katika hafla ya tuzo ya SOYA, Korir alieleza wazi azma ya kurejesha shughuli za michezo uwanjani humo.