×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Oparanya alaumiwa kuingilia siasa za ugavana katika kaunti ya Busia

7th February, 2022

Baadhi ya wafuasi wa chama cha ODM kaunti ya Busia wamemsuta gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya wakidai anaingilia maswala ya chama hicho katika kaunti hiyo kwa kuonekana kuegemea upande wa aliyekuwa mbunge wa Funyula Paul Otuoma. Wafuasi hao wanamtaka Oparanya kusita kuingilia siasa za ni nani anapaswa kupewa tiketi ya chama hicho kuwania ugavana wa kaunti ya Busia bila kutumia njia za mkato.

.
RELATED VIDEOS