×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhusiano wa Jubilee na ODM utaimarishwa ili kuboresha vyama hivyo viwili kabla ya uchaguzi mkuu

7th February, 2022

Kuna uwezekano zoezi la mchujo wa chama cha ODM na kile cha Jubilee ambavyo vinaunga vuguvugu la Azimio la Umoja litafanyika kwa wakati mmoja. Kulingana na mkurugenzi wa chaguzi wa chama cha ODM Junet Mohammed, uhusiano wao na chama cha Jubilee utaimarishwa ili kuboresha vyama hivyo viwili kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezo Agosti. Aidha Junet amekiri kwamba bado hawajatia mkataba na chama cha jubilee ili kuhakikisha kwamba wana lengo moja.

.
RELATED VIDEOS