×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi kaunti ya Samburu wamewahusisha wakazi wa eneo la Pura katika kutafuta amani

7th February, 2022

Viongozi kaunti ya Samburu wamewahusisha wakazi wa eneo la Pura katika kutafuta amani, wakati huu visa vya wizi wa mifugo pamoja na kulipisha kisasi vimeongezeka katika eneo hilo. Hatua hii inawadia baada ya watu wanne miongoni mwao OCS wa kituo cha polisi cha Maralal pamoja na afisa mwingine wa polisi kuuawa kwa kupigwa risasi na majangili kwenye matukio tofauti yaliyotokea mwezi Desemba mwaka jana.

.
RELATED VIDEOS