×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dominic Ongwen ahukumiwa na ICC katika kesi ya uhalifu wa kivita nchini Uganda

6th May, 2021

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai ICC hatimaye imemhukumu kifungo cha miaka ishirini na mitano kiongozi wa zamani wa waasi nchini Uganda wa Lord’s resistance army lra Dominic Ongwen. Ongwen anayefahamika kama white ant, alipatikana na zaidi ya makosa 60 yakiwa ni pamoja na uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita.

 

 

.
RELATED VIDEOS