15th July, 2024
VIJANA WA KIZAZI CHA GEN – Z WAMESHANGAZA ULIMWENGU MZIMA KWA MAANDAMANO YAO ULIOSABABISHA SERIKALI KUWASIKIZA NA HATA RAIS KUWAFUKUZA KAZI MAWAZIRI WAKE WOTE. VIVYO HIVYO MSUKUMO WAO UMEMFANYA ALIYEKUWA MKUU WA POLISI JAPHETH KOOME KUJIUZULU. TOFAUTI NA MAANDAMANO YALIYOWAHI KUFANYIKA KENYA HAYA YALIHUSISHA SIMU NA MITANDAO LAKIN MATUNDA YAKE NI MENGI. PAUL NABISWAANAANGAZIA MBINU WALIZOTUMIA VIJANA HAWA AMBAO HAWANA KIONGOZI WALA SIFA ZA UKABILA NA TABAKA KATIKA MAKALA MAALUM YA MAKALI YA GEN–Z.