22nd January, 2022
Maandalizi ya mkutano wa ndc wa chama cha ANC yamekamilika katika eneo la bomas huku wakenya wakisubiri kwa hamu kauli ya kinara wa ANC Musalia Mudavadai kuwa atatoa kauli ya kisiasa itakaotikisa nchi kama mtetemeko wa ardhi. Haya yanajiri huku viongozi wenza wa OKAwakisema watahudhuria mkutano huo licha ya wana ANC kusisitiza oka lazima imteue mudavadi kama mgombea wake wa urais wakishikilia hawakotayari kufanya kazi na Raila.