×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jinsi mwanamke mmoja anaishi na kifaa maalum kinywani mwake baada ya kupona saratani

20th January, 2022

Mtazamaji tafakari kutokuwa na uwezo wa kuzungumza, kutafuna, kupiga miayo, kutabasamu au hata

 kumeza chakula kwa njia ya kawaida. hii ndio hali ya maisha ya teresiah njeri aliyepona saratani na ambaye sasa anaisha na kifaa maalum kinywani mwake. mwalimu huyo wa zamani wa shule ya chekechea ambaye ana uwezo wa kufungua kinywa chake angalau kidogo tu anaishi kwa kutumia  vyakula vilivyosagwa. baada ya matibabu na safari yake ya kuponaTeresiah sasa anasema hana budi ila kukubali maisha yako mapya. cecilia wakesho anaarifu zaidi.

.
RELATED VIDEOS