×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru apiga marufuku biashara ya vyuma vikuukuu kote nchini na nje ya nchi

20th January, 2022

Rais Uhuru Kenyatta amepiga marufuku biashara ya vyuma vikuukuu kote nchini na nje ya nchi. rais alitangaza  marufuku hiyo  alipoongoza hafla ya kufuzu kwa maafisa wa polisi katika kituo cha mafunzo ya polisi cha kiganjo kauni ya nyeri. akitoa marufuku hiyo, rais amesema kuwa baadhi ya wahalifu wamekuwa wakiharibu miradi ya serikali ili kupata vyuma vya kuuza ili kujinufaisha kibinafsi. clement masombo anaarifu zaidi.

.
RELATED VIDEOS