×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ya Agnes Wanjiru yataka serikali ya Kenya na Uingereza kumchukulia hatua mwanajeshi huyo

25th October, 2021

Familia ya Agnes Wanjiru, mwanamke aliyeuwawa na mwanajeshi wa Uingereza takriban mwongo mmoja uliopita sasa inataka serikali ya Kenya na Uingereza kumchukulia hatua mwanajeshi huyo. Hii ni baada ya taarifa kuibuka kuwa mwanajeshi huyo alikiri kumuua wanjiru na kisha kuutupa mwili wake ndani ya pipa la maji taka katika hoteli ya lions court mjini nanyuki mwaka 2012.

.
RELATED VIDEOS