×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mabondia wa Kenya waendelea kujiandaa jijini Belgrade nchini Serbia

25th October, 2021

Mabondia wa Kenya wanaendelea kujiandaa jijini Belgrade nchini Serbia. Kenya ina zaidi ya kikosi cha mabondia 30 ambao wakufunzi wana imani watafanya vyema katika mashindano haya ya dunia. Kati ya mabondia wa Kenya tajika ni bondia Nick Okoth aliyeshiriki katika mashindano ya olimpiki jijini Tokyo nchini Japan na japo hakifanya vyema katika mashindano hayo ana imani kwamba amejitayarisha vilivyo kukabiliana na upinzani ujao.

.
RELATED VIDEOS