.
25th October, 2021
Mbio za Standard Chartered marathon zimeanza rasmi hii leo. Mbio hizi zimegawanywa mara mbili, mbio za kawaida na mbio za mitandao ambapo washiriki wanatumia teknolojia ya kisasa kurekodi kasi yao. Mbio za kawaida zitaandaliwa mwisho wa mwezi huu.