×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa uongozi wa Nairobi waendelea kutokota baada ya mahakama kusitisha kuapishwa kwa Kananu

25th October, 2021

Mzozo wa uongozi katika kaunti ya Nairobi unaendelea kutokota baada ya mahakama ya juu zaidi kusitisha hafla ya kumuapisha Ann Kananu kama Gavana wa Nairobi. Uamuzi huo umechukuliwa baada ya gavana wa zamani Mike Sonko kuwasilisha rufaa mbele ya mahakama hiyo akipinga uamuzi wa mahakama ya rufaa uliotoa kibali kwa kananu kuapishwa.

.
RELATED VIDEOS