.
16th September, 2021
Mbunge wa Tiaty William Kamket ameachiliwa huru kwa dhamana ya laki nane pesa taslim au mdhamini wa shilingi milioni moja Kamket ambaye alikamatwa wiki iliyopita kuhusiana na madai ya uchochezi na kusababisha mapigano katika eneo la Ol Moran kaunti ya Laikipia ameamrishwa na mahakama ya nakuru kutozuru eneo la Amaya katika eneo bunge la Tiaty.