.
16th September, 2021
Aina mpya ya virusi vya korona kwa jina Delta vinazidi kuzua wasiwasi kote duniani huku wataalamu wakihoji ufanisi wa chanjo zilizopo kuzuia virusi hivi. Baadhi ya watalaam wameashiria kuwa kuchanganya chanjo mbali mbali za virusi dhidi ya korona kunaweza kusaidia kutoa kinga thabiti dhidi ya maambukizi. Beldeen Waliaula anaangazia swala la kuchanganya chanjo mbali mbali.