×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wanasa simu 102 zilizoibwa kutoka maeneo tofauti ikiwemo Southern Bypass jijini Nairobi

12th June, 2021

Polisi wamenasa simu mia moja na mbili zinazoaminika kuibwa kutoka maeneo tofaouti yakiwemo barabara ya Southern Bypass jijini Nairobi.  Msako uliofanywa na polisi kutoka Langata ulianzishwa kufuatia malalamishi ya wananchi huku jumla ya washukiwa kumi na wawili wakitiwa mbaroni. Je, upo mtandao wa wizi wa simu jijini?. Mwanahabari wetu sirajurahman abdullahi na taarifa hiyo kwa kina.

 

.
RELATED VIDEOS