.
8th May, 2021
Wachezaji wa tennis wanaowakilisha taifa kwenye mashindano ya tennis ya wachezaji wanaoishi na changamoto za maumbile nchini ureno wameelezea matumaini yao kufanya vyema kwenye mkondo wa pili. Kikosi cha kenya kimefanya mazoezi hii leo kujiandaa kwa mkondo huo utakaoanza mnamo jumatatu. Hapo kesho wachezaji wote watashiriki mashindano ya mwigo kujiandaa kwa ajili ya mkondo wa pili.