×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msichana mmoja Webuye anaishi na risasi mbili mwilini baada ya kupigwa risasi miaka minne iliyopita

8th May, 2021

Msichana mmoja kutoka eneo la Webuye kaunti ya Bungoma aliyemaliza kidato cha nne anaishi na risasi mbili mwilini baada ya kupigwa risasi na mwanafunzi mwenza miaka minne iliyopita alipokuwa anasoma shule ya upili ya Lokichogio katika kaunti ya Turkana. Phanice Weyaga amesalia kuvumilia maumivu akimshukuru mungu kwa kuponea kifo.

.
RELATED VIDEOS