Utata umezunguka mauaji ya mwanamke mmoja wa umri wa miaka 30 mjini Naivasha
14th April, 2021
utata unazunguka mauaji ya mwanamke mmoja wa umri wa miaka 30 mjini Naivasha kaunti ya nakuru, baada ya mwili wake kupatikana mtaa mmoja mjini humo. mwili huo ulipatikana umefungiwa katika nyumba moja. ali manzu anaarifu.