×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

jamaa mmoja, 58, aliyedhaniwa kuaga dunia na hata kuzikwa ajitokeza hii leo Kakamega

14th April, 2021

kijiji cha shirulo katika eneo la ikolomani kaunti ya kakamega kimegutushwa na vile vile kukumbwa na furaha tele baada ya jamaa mmoja aliyedhaniwa kuaga dunia na hata kuzikwa mwaka jana kujitokeza hii leo. antony muhati mwenye umri wa miaka 58 na ambaye hufanya kazi za kibarua kitale anasema alisikia taarifa kuhusu kifo chake ndiposa akarejea. familia sasa inasema italazimika kumfanyia matambiko na kufukua mwili uliozikwa ili kuurejesha katika makafani ya kitale.

.
RELATED VIDEOS