.
27th February, 2021
Muungano wa kudhibiti matumizi ya Tobacco nchini KETCA, umeelezea wasiwasi kutokana na kusambazwa kwa vijikaratasi vilivyo na bidhaa zinazotengenezwa kutumia Tobacco ambapo wanaozitumia wanamumunya kama peremende. muungano huo unasema bidhaa hiyo ni hatari kwa matumizi ya binadamu na haswa kwa vijana ambao kwa sasa ndio wanaonunua kwa wingi. Waziri wa afya Mutahi Kagwe alikuwa amepiga marufuku bidhaa hizo mwezi oktoba mwaka jana, lakini kulingana na KETCA, bidhaa hizo bado zinauzwa nchini