.
27th February, 2021
Sherehe za harusi kwa familia moja kaunti ya samburu zimegeuka karaha baada ya mwanamume mmoja wa umri wa miaka sitini kuuawa. Walioshuhudia wanasema binamu wawili walitofautiana kisha kupigana na ndipo hapo mmoja akadaiwa kufariki baada ya kugongwa kwa rungu kichwani. Mark Namaswa na taarifa hiyo