27th February, 2021
Polisi mjini embu wanamzuilia jamaa mmoja kwa tuhuma za kumlawiti mvulana wa miaka kumi na miwili. Kamanda wa polisi mjini embu amesema kuwa bado uchunguzi unaendelea huku jamaa huyo akisubiri kufikishwa mahakamani. Moige william na taarifa hii kutoka kaunti ya embu