x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Buxton jijini Mombasa wapinga notisi ya kuhama kuapisha ujenzi wa nyumba za kisasa

26, Jan 2021

Wenyeji wa mtaa wa Buxton kaunti ya Mombasa wana hadi mwezi machi mwaka huu kufahamu iwapo nyumba zao zitabomolewa ili kutoa nafasi ya ujenzi wa nyumba kisasa. Mradi huo unaoendeshwa na serikali ya kaunti ya Mombasa pamoja na kampuni ya nyumba ya Buxton point inalenga kubomoa nyumba 520 na kujenga nyumba zingine 1500. Wenyeji waliwasilisha ombi mahakamani wakitaka ilani ya kusimamisha ubomoaji huu wakidai mradi huo wa kima cha shilingi bilioni 6 sio halali na madhumuni yake ni kuwanyan'ganya ardhi hiyo ya ekari 14.   

Feedback