Wanafunzi 10 wanaodaiwa kuteketeza shule yao wafikishwa mahakamani Embu
26th January, 2021
Korti imeamuru wanafunzi kumi wa shule ya sekondari ya Kiambere katika kaunti ya Embu kuzuliwa kwa siku tatu kuwezesha polisi kukamilisha uchunguzi wakihusishwa na tukio la moto kuteketeza sehemu ya shule hiyo.