x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kesi ya Warunge: Kesi ya Warunge yachelewa kuanza baada ya mshukiwa mkuu kukosa kufika

25, Jan 2021

Majuma mawili baada ya kukamatwa kwa washukiwa wa mauaji ya watu watano huko Kiambu, kusikizwa kwa kesi hiyo kulichelewa kuanza baada ya mshukiwa mkuu lawrence warunge kukosa kufika mahakamani.  Aidha, upande wa mashtaka uliieleza mahakama kuwa unanuia kumgeuza sarah muthoni kutoka kuwa mshukiwa na kuwa shahidi wa serikali.

Feedback